Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahahahahahah jamani wewe ni mkorofi hivyo????
 
Alikandia weeee kwenye nyuzi bado akaona haitoshi hadi na uzi akaanzisha, Sasa unamuona Ni mzima huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sasa hivi nimeenda kuangalia kuna uzi naona ameongea na mods waung'oe.
Jana ulikuwepo na nilisoma zote nashangaa Leo zipo mbili tuu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Aseeeee watu wametibuka mnoooooo
 
Aloooooo 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
We ni mwisho wa matatizo mwajuma wa uzunguni
 
Ulimzidi akili alipogundua ikabidi aanze kujitetea na blah blah kibaoo maana hakuamini majicho yake na kujiona ana akili, walahi ulinifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Jinsi alivyokuwa ana chat na kamanda kapeace Wanazengo tulitulia nikajisemea yes huyu Nyumbu lazima aingie kwenye mtego na kweli kaweka picha ya mwewe wake maana si kwa kucha chafu zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…