Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Ushabiki uwa haupo hivi aunt subaru. Subiri muoge magoli š¤£š¤£Naenda zangu kulala.
Yanga wakirudisha mtaniambia nirudi kuangalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushabiki uwa haupo hivi aunt subaru. Subiri muoge magoli š¤£š¤£Naenda zangu kulala.
Yanga wakirudisha mtaniambia nirudi kuangalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga hawa washaachia tumefungwaUshabiki uwa haupo hivi aunt subaru. Subiri muoge magoli![]()

Mpira umeisha aunt subaru.Naenda zangu kulala.
Yanga wakirudisha mtaniambia nirudi kuangalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mjinga aliyepewa kadi nyekundu ndio amesababisha yote haya.Mpira umeisha aunt subaru.
Simba oyeeeeee![]()
Ahaaa!Wekeni hela aisee.
Hawa mikia tunawanyuka leo,,walishatibuana wenyewe huko na akina manara,sisi twaenda kumalizia tu kuwatibua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niacheni nilie KwanzaAhaaa!



Mbutuaji kabutuliwaAhaaa!
Yule mjinga aliyepewa kadi nyekundu ndio amesababisha yote haya.
Kucheza watu pungufu ni kazi Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula tu migebuka ulale kwakwelišNiacheni nilie Kwanza
Nipo kigoma hapa natamani nikaogelee ziwa Tanganyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekudanganya ukimkamata mpige šYule mjinga aliyepewa kadi nyekundu ndio amesababisha yote haya.
Kucheza watu pungufu ni kazi Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah utopolo wamekuwa ndugu wasindikizajiš.Mbutuaji kabutuliwa
Naenda kupambana na maji hadi hasira ziisheKula tu migebuka ulale kwakweli![]()

Game ilikuwa ngumu kwetu tangu mwanzo +na ile kadi ikawa ngumu zaidi.Aliyekudanganya ukimkamata mpige![]()
Hebu muache mtakatifu anywe supu ya migebuka kwanza machungu ya kukosa kote yamemuandamašAliyekudanganya ukimkamata mpige š
Asante kwa maana utachanjwa au?Asante sana![]()
Hebu muache mtakatifu anywe supu ya migebuka kwanza machungu ya kukosa kote yamemuandama![]()











