Mdogo Ake babe mzuri πππMdogo wake shunie anakusalimiaView attachment 1223254
Hahahaha delila kazini sio!!Pongezi kwako kwa kumfanya atupostie usingizi wake.
Isingekuwa wewe huu uzi ungepooza sana. Pasingekuwa na vidokezo kama hivi.
Nipo back up kwa ajili yako msomali wangu
Ninazo zote,,zake na zako
Sio rahisi kungekuwa na uwezekano wa kuazimana watu ningekuazima kwa gharama yeyote ileSura ya babangu we sifia mwili tu
Ndio ajue hata sisi ni wapenzi/wake za wanaume wenzie na uzuri wetu wanauona wao kama ambavyo wa mkewe anauona yeye. Yeye anaumia wake kupewa makavu live wakati bingwa wa kupaka wenzieMwisho wasiku ikabidi aanze kumsifia kwenye maeneo mengine. Maana alijua kwenye appearance na usafi ndio ashafeli.
Eti mke wake katuzidi Elimu ana kazi zuri, ana akili na simu zuri ana nidhamu anajua kupika na blah blaah.
Hivi wifi yuko wapi semegi?Meditation ya kibaharia
Niliipitaje hii msg jamani, kapeace kaiquote ndio nikaiona. Na wakumbuke tu wanawake huwa hatusahau kitu kirahisi.
Nakuja mbioUkuje kwa waziri mkuu
Alikandia weeee kwenye nyuzi bado akaona haitoshi hadi na uzi akaanzisha, Sasa unamuona Ni mzima huyoHiyo ni sehemu tu lakini alidhihaki sana ndo maana nzengo ina hasira nae na kama utujuavyo wanawake hasira zetu haziishagi kwa haraka
Yaani kosa la mtu mmoja ukandie watu wote.Hahahaha kubwa ni kuwa team moja mbona tutawanyoosha wote vya udomo, mi nakubali kuna watu kukwazana lkn ndo utukane jamii yake yote??? Kumfata pm alishindwa!! Ustaarabu ni kitu cha bure
Basi tukishinda humu anatuona watoto wa vidudu Haki ya NaniHatujasoma
Ulimzidi akili alipogundua ikabidi aanze kujitetea na blah blah kibaoo maana hakuamini majicho yake na kujiona ana akili, walahi ulinifurahishaIlibidi niwe Delilah tu
Hahahaha umeonaeeh.....
Hatarious Wallahi....
A message to the one and only;
My Love usiangalie hizi picha wala kuzisave Aisee...
EeeehSio rahisi kungekuwa na uwezekano wa kuazimana watu ningekuazima kwa gharama yeyote ile
Hahaha hamna, ukweli lazima usemweFisi kazini
Una akili SanaBrother wala hakuna haja ya kufanya character assessment kupitia huu uzi, utawakosea warembo wa watu.
Waache wateme sumu zao wiki nzima waliteseka nyuzi zisizikuwa na mpango, fikiria mdada wa wa watu kapost picha yake mtu kaichukua kaizoom na kukandia sijui kavaa ndala na maneno mbovu mbovu kibao, lakini anasahau hao ni wadogo zetu ndo wamemaliza masomo au ndo wanaanza hustling za maisha, unaweza kumkosoa kwa kumfata pm au ukamkosoa in a good way lakini si kumbeza jukwaani kumdhihaki ili mradi tu.
Halafu kwenye haya maisha kweli unaweza kumdhihaki mtu kisa viatu sijui kiuchumi hayuko sawa, leo utamcheka kavaa ndala kesho yake unakatatika miguu kwa ajali hata hizo ndala huwezi kuvaa tena.
Haya maisha kuna watu wanajisahau sana hukatazwi kumsifia mwanamke wako offcourse ndo tunavyopendwa kusifiwa n wanaume zetu ila ukinisifia mimi siyo uwaponde wanawake wengine, thats not cool na msukuma wangu kaniambia haipo kwenye katiba ya kiumeni.
Wacha uongo, ile paja yote ile niliona π πMbona hapa kwenye hii picha ni mwembamba sana.
Umeanza diet nini. Mimi hizo paja ukichanganya ni langu moja.