Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Pole sana dada angu tatizo ulienda na matokeo yako mfukoni bado na tarehe 25 tena
ha ha ha ha yaani jana sitaki kukumbuka siku ilikua nzito ghafla yaani tulivyojiamini daaah na majezi yetu!!!
Pole sana dada angu tatizo ulienda na matokeo yako mfukoni bado na tarehe 25 tena
Japo Mimi ni Azam ila harufu za nyie kufugwa zilikuwepoha ha ha ha yaani jana sitaki kukumbuka siku ilikua nzito ghafla yaani tulivyojiamini daaah na majezi yetu!!!
😀😀😀Japo Mimi ni Azam ila harufu za nyie kufugwa zilikuwepo
Azam Lia lia[emoji3][emoji3][emoji3]
Acha urongo.
[emoji736][emoji817][emoji1548]Ilikuwa ni breakdown. Subiri nikigeuka [emoji23]
Inabidi nifiche[emoji3]Nimeziona dimples
Ng'ombe wa buza??Hazifichiki ni sawa tu na pembe la ngo'ombe![emoji3]
Ni poa kabisa Shem darling wa kienyeji.nimekuhamu wa kienyejiMambo poa tu vipi mzima wewe shemeji yangu kipenzi wa kienyeji
[emoji3][emoji3] wa maziwa??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yule sio OG
[emoji1787][emoji1787]unafuga?? Namtaka mmoja.Hata wa nyama sie[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi atanipalura na makucha[emoji2440][emoji2440][emoji2440]Ndio ila usiku anageuka anakuwa fisi
[emoji3]simuwezi,mie nataka wa maziwa.Ni mpaka umuudhi