Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Good night fam,


Screenshot_20210630-230026.jpg
 
Shida hamjibu swali nililo uliza.

Wengine sisi hili si jambo letu.
Para ya mwisho kwenye mada kuu inasema hivi
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
 
Tumepunguza mno kuselfika! Shida nini wadau.. Kumbukeni si lazima sura.. Hata upaja tu ulionona ruksaaa! Au zile za kubinua kishoes! kwa wanawake tu lakini au guu kama la ankal wangu Chakorii , au komwe kama la mjukuu wangu cocastic ! Vp kuhusu kiuno nyigu cha Depal
Wakumbushe mkuu, bla kusahau saa sita za yule dada wa Green city
 
Back
Top Bottom