cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
NaamOstadhath![]()
Mambo kipenzi changuHahahaha
Jiweke kwanza wewe fulu mimi nitafuata kuwekaHivi kwanini mnaotuma picha zenu humu mnaficha sura senu ?
Kwamba hamjiamini au hamtaki kujuana juana ?
Nishaweka huko nyuma.Jiweke kwanza wewe fulu mimi nitafuata kuweka
Pamoja sanaNishaweka huko nyuma.
Lakini hujajibu swali langu.
Nakuona nakuona.Naam
Poa kabisa kipenzi uko kimya sanaMambo kipenzi changu
Yani kipenzi we acha.maisha yanavuruga mno mtaani aiseh..P
Poa kabisa kipenzi uko kimya sana
Hahahaha mm pia nimekuhamu mno mno mpk nawehuka hukuYani kipenzi we acha.maisha yanavuruga mno mtaani aiseh..
Nimekuhamu mpka nasikia kihindihindi loh
Wee kipenzi tafwadhali naomba usiwehuke 😄😄Haha
Hahahaha mm pia nimekuhamu mno mno mpk nawehuka huku
dah kuumizana huku
Weee usiniambie 😀😀woi🤸♀️🤸♀️Day
dah kuumizana huku
unaniacha pekee yangu eWee kipenzi tafwadhali naomba usiwehuke 😄😄
Nimefurahi kuchat nawe.wakati mwingine tena nikipata muda✌🏿
Serious ujue we nicheke tuWeee usiniambie 😀😀woi🤸♀️🤸♀️
Pole kipenzi wengine wapo endelea nao mimi nitakuja kuendelea baadaeunaniacha pekee yangu e
Na Mimi. Natoka mpk ukirudi nitakujaPole kipenzi wengine wapo endelea nao mimi nitakuja kuendelea baadae
Eee bhana,mambo ya kunyumba.Nakuona nakuona.
Ewaaaaah,Eee bhana,mambo ya kunyumba.