[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vita ni vita mura no retreat no surrenderNaanzaje kusahau kirahisi na wakati mwezi mzima huku alikuwa anatusema sisi ni wabovu.
Kwa picha ya demu wake hiyo daah[emoji134][emoji134]siwezi kusahau kwakweli.View attachment 1223242View attachment 1223244
daamn..!!
Kwanini siku zote hizo hukuniambia kama wewe ni kifaa hivyo dada?
Sio wewe uliniambia Siku hizi nimekuwa mpole hadi natia huruma?
Usimtengue kiuno tu[emoji29][emoji29]Akikataa nitajua la kufanya[emoji43]
Huyu namfananisha
[emoji28][emoji28]nimechekaaa.Naona hakumjua vizuri the tiger in you aliona ukondoo wako wa nje tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]alivyoona umeacha kujiita dark angel akajua na udevil utakuwa umekwisha kabisa, kwamba sasa umekuwa Hannah Montana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ebu fanya ukuje pm au wassap basi [emoji847]insta babe Shunie nakusalimuView attachment 1223245
Anko wako mambo mengi wacha wenzie wachukue nafasi
We dada ebu acha wizi wakoMi nikilala nakuota ndotoni bae
General Mangi ni wakwangu jamani.Wifi weeee. Karangi ka mtume.
General Mangi anko unafeli wapi??
Pamoja na ubishi wako wote Karma ila kwa huyu dada huingii hata robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona hakumjua vizuri the tiger in you aliona ukondoo wako wa nje tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]alivyoona umeacha kujiita dark angel akajua na udevil utakuwa umekwisha kabisa, kwamba sasa umekuwa Hannah Montana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kwanza vipi uko poaaa? maana kitambo sana humu sasa nimerudi rasmiEbu fanya ukuje pm au wassap basi [emoji847]
Hatimae umeitikia with wangu [emoji122][emoji122][emoji122]
nimekumiss sanaaaa.... nimerudi uraiani rasmi maana ni kama nilikuwa kifungoni vileInsta babe wangu nimekumiss jamani [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nilikuuliza sijashinda bado?Unafukua makaburi loh...
Wachaaaaa
Hata mimi kibonge haujaona?Mi kibonge ndo shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna haja ya kuficha uso camera uliyotumia ya simu ina uwezo wa kugundua wewe ni nani?