Nimeona mafuta ya cherahani na filimbi
Dah nimeyatamaniUkikosa ugali chemsha mahindi ...
View attachment 1799855
Mchimba dawa.
Ujinga huo kwioooh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ujinga
Msieeeew zao, hovyoooooh lolHawataki legacy
Unataka kusema nin kwa mfano[emoji23][emoji23]Ujinga huo kwioooh? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anakueneza? Mie nasema kutokan na utafiti wangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kusema nin kwa mfano[emoji23][emoji23]
Unanieneza ujue
Huu utafiti wako kwa data moja si sahihi.Nani anakueneza? Mie nasema kutokan na utafiti wangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kweli mkuu Mshana Jr anatumia gambe!?Wanywa pombe kuwakuta hawana vitambi ni kumi kwa mia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Mimi sinywi pombe na kunywa valuer na nyagi