Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Guess the place that was meant to be..!!!
IMG-20210527-WA0001.jpg
IMG-20210527-WA0002.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi ya Chato ndani ya Congo hekalu la mwendazake mobutu


Hayo ndio Masalia ya eneo la Gbadolite huko Zaire (Congo DR ya sasa) aliyoyaacha Mobutu Sese Seko, Rais wa miaka hiyo.

Palikuwepo na International Airport, midege aina ya Concorde ilikuwa inatua hapo direct kutokea New York.

Sasa wanaishi popo na wanyama mwitu wengine.

#DuniaTunapita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom