Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Akiweka usisahau kunitag mama mchungaji
Sawa nitakutag..Akiweka usisahau kunitag mama mchungaji
Nashusha mzigo muda si mrefu usikae mbali
Thank you loviePole lovely![]()

Yaan bara bara zingne zinaogopesha kwa kweli lol
Jaman si nimeweka juz tyuuh hapa? Hebu weka nione matege ya V



Mawazo yako yapo tofauti sana, na utafiti wangu. Sorry kwa hilo.
Kwa nini unapoteza muda kwenye suala ambalo mwisho wa siku unaingiza shilingi sifuri?
Nipe maswali nikujibu honestly tumalize kesi mapema ili uokoe muda wa kumake mapene.
Kukumegea siri tu, nobody knows me humu JF zaidi yangu, so kindly consider my offer.
Dah! Halafu haipendezi kujila mwisho siku unakuja na findings za kitoto eti nina ID kadhaa. So what?
Hallow waleleeeeh, ndo maan mie nimefata rangi kwa bibi woiiiiiiiiih.Bibi yako huyo mjukuu


