Oh pazuri.Barabara ya ngorongoro, kwa chini ukiangalia utaona hifadhi ya ziwa manyara
Kweli panavutia.Yeaah kuzuri sana ukiwa hapo pana View nzuri sana sema haionekaninvizuri kwa simu. Karibu unitembelee nikutembeze
View attachment 1797211


Tanzania tunavivutio vingi vizuri sema hatuna namna bora ya kuvitangaza na kujivunia kwa kutuongezea pato la taifa.Yeaah kuzuri sana ukiwa hapo pana View nzuri sana sema haionekaninvizuri kwa simu. Karibu unitembelee nikutembeze
View attachment 1797211
Oh,, okee.Picha ya pili ni Nairobi bypass sio mazingira ya mwanzo
Hahah!Ujumbe ulikua ushakufikia mlengwa![]()
Heheheh hapo sasa, ngoja nimalizie kazi, nitaweka wazi matokeo ya utafiti.Thank you for researching me.
Kindly share the research questions and findings.
Nimekupenda bure.




Ni pazuri kwa kweli, lazima nitatia team soon.Yeaah kuzuri sana ukiwa hapo pana View nzuri sana sema haionekaninvizuri kwa simu. View attachment 1797211
Kwa kukaa mbele hujambo, hivi si uombe hata kukanyaga mafuta hapo kulia na wee cc lol,





lolHahah!Kwa kukaa mbele hujambo, hivi si uombe hata kukanyaga mafuta hapo kulia na wee cc lol,
Yaan mie nikae hapo mbele, niwe natazama tyuuh mmmh uvumilivu lazima unishinde, ntaomba tyuuh nkamatie endelilol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app