Bora ufanye hivyo kuliko kutiana aibu hiyo ya kuvalishwa ndala nyekundu kwa kijani ππππππMm ndo maana hua najibebea
Open zangu maana kuna kutoka nje
Umesahau hata vocha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huenda wewe sio mtu wa kusafiri mara kwa mara Saint AnneDuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hii ndio naiona Leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeHuenda wewe sio mtu wa kusafiri mara kwa mara Saint Anne
Licha ya kustaafu kwa lazima miaka 12 iliyopita bado nasafiri mno na kufikia nyumba za wageni. Hivyo nimekutana na hizi changamoto ya kuvalishwa ndala zilizopasuliwa mbele au papa na ngulu mara kwa mara [emoji1][emoji1]
Nilishangaa hata juzi nilipokwenda [emoji1397][emoji1397]kwa akina Chakorii nilivalishwa [emoji23][emoji1322][emoji1322]
Mathayo 3:1
Tuache na ndala zetuHuenda wewe sio mtu wa kusafiri mara kwa mara Saint Anne
Licha ya kustaafu kwa lazima miaka 12 iliyopita bado nasafiri mno na kufikia nyumba za wageni. Hivyo nimekutana na hizi changamoto ya kuvalishwa ndala zilizopasuliwa mbele au papa na ngulu mara kwa mara ππ
Nilishangaa hata juzi nilipokwenda ππΌππΌkwa akina Chakorii nilivalishwa πππ»ππ»
Hahaha.....kwa kweli ππTuache na ndala zetuView attachment 1793605
Full mishikaki! π€£ π€£ π€£Mambo ya arumeru hayo wiki hiiiView attachment 1792756
Kwahiyo hapo ndo umeuliza kitu siriazi π πHahaha.....kwa kweli ππ
Let's talk serious, hivi guu hilo natakiwa nilipie mahali ya ng'ombe wa ngapi kuumiliki??
Nataka niongee na Bibi yako aridhie uwe msaidizi wake, najua kwa uzee huu nahitaji zaidi joto la kigori kama wewe ππππ»ππ»
Wasitufokeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba fans....[emoji23]View attachment 1794123
[emoji3064][emoji2955][emoji3064][emoji2955][emoji3064][emoji2955]Wasitufokeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wameshatoka.
Wapi ustaadh moudgulf [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Sent using Jamii Forums mobile app