Selfika na JF: Snap it. Show it

Jaman mie chips hata kujaribu siwezi, na vile huwa mafuta mafuta, akaaaah,
Hapo kwa ugali sasa, mie hunitoi.
 
Lugha...mojawapo ya maajabu ya Homo Sapiens. Kuweza kuchukua dhana (dhahnia) na kuiwakilisha kwa sauti za nasibu...

Lugha...ndiyo ilimpa Homo Sapiens uwezo wa kukomaza fikra zake mpaka akawa na uwezo wa kuyatawala mazingira yake.

Lugha...tunaichukulia poa lakini ni mojawapo ya maajabu makubwa na uwezo wa ajabu sana kuweza kutokea kwa Homo Sapiens.

Naam! Lugha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…