My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,885
Then do it sometimes, huwezi jua unaweza kutana na baharia akakuzingatia kesh yake akatangaza ndoaNashinda shamba mkuu,make up ya nini?[emoji23]
Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ona napewa sifa si zangu[emoji23][emoji23]
Hebu tuma kwanza ya yule dada tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwamba baharia kesho yake atangaze ndoa?[emoji23]Then do it sometimes, huwezi jua unaweza kutana na baharia akakuzingatia kesh yake akatangaza ndoa
Looh wewe kataa lakini kama ni kukata rufaa niko tayari. Unayakataa mwenyewe mahips yako leo ?, Usilete utani hapa [emoji23] unakumbuka kuna pich ulituma unasema
" yani mimi nitembee hivi mimi " ulikua umejaza humo pemben kama kondoo wa sufi.
Unataka kuijua?
Njoo tu nkupatie mafunzo kwa vitendo ni free! Come kwa PM
Matege ya Taifa?Mdogo wangu Cocastic alisema hajaona matege[emoji1787]View attachment 1791865
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu Cocastic alisema hajaona matege[emoji1787]View attachment 1791865
Yaani kwamba baharia kesho yake atangaze ndoa?[emoji23]
Kuhusu picha yaani boss basi utakuwa na makengeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yatoe hapa tunufaike wengiNjoo tu nkupatie mafunzo kwa vitendo ni free! Come kwa PM
[emoji1787][emoji1787]Ungetoa huo mkono mfukoni.
ila wew aisee [emoji23][emoji23]
Yeah kesh yak tuu Unaitw mrs fran hujawah ona hio ?
Dawa ya wote ni chanjo tu! Hii inakuhusu wewe binafsi zaidi
Unanitisha Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa ya wote ni chanjo tu! Hii inakuhusu wewe binafsi zaidi
Hapo cha-cha nimeyaona, tena Yale ya V, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu Cocastic alisema hajaona matege[emoji1787]View attachment 1791865
Sent using Jamii Forums mobile app
Babuuuh nakuja kuzima Tv, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mhusika haonekani kwenye hii nyumba