Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi mtu akitaka kuhudhuria faraghani (mfano mimi ambaye si muumini wa huko); nikija lazima nivae skirt ya marinda na kunyoa au kilemba?
Hata mambo mazuri nimeyasema.

Pale juu nimesema uwata ni moja Kati ya fellowships zenye nguvu sana.
Hakuna ubabaishaji,kule watu wanaomba Jamani na Mungu anajifunua kwa viwango vya ajabu.
Yaani true cheistians wengi utawakuta kule...hakuna kufake kabisa kama baadhi fellowships nyingine.
Mungu aliyepo kule ni wa uhakika na anatafutwa kwa uhakika,
Na hata ukijidai ujifiche ufanye maovu,watakuengua tu maana watu wanaona kule.

Pia Kuna utaratibu wa kuona juu ya Safari unayosafiri.
Mungu akisema no basi usisafiri

Pia kuna ile maombi pale mtu anapopumzika(kufa)
Wanaangalia kama amepumzika pazuri ama amepotea.

Mambo mazuri nimengi Sana, siwezi yataja yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu akitaka kuhudhuria faraghani (mfano mimi ambaye si muumini wa huko); nikija lazima nivae skirt ya marinda na kunyoa au kilemba?
Wao wanasema unaweza kwenda tu hivyohivyo japo itapendeza zaidi kama ukivaa marinda na ukafunga japo kilemba.

Ukifika huko watakushawishi tu hadi utabadilika,
Influence ni kubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni shindikanika, kubadilika hapana. Ngoja nianze kuvizia sketi za marinda

Back
Top Bottom