Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaah wakaka walikuwa hawajipendi? Na wenyewe hawana mfumo wao wa mavazi?
Dah miaka hiyo
Akiwa anakuhadithia dada yangu kuhusu hilo la kuchaguliwa yaani utacheka.
Anasema yaani wanakubambikia mtu mbayaanadhambi yule sista.

Wakaka uvaaji wao unaotakiwa ni suruali za vitambaa zenye mapanga.
Japo siku hizi Kuna vijana walishazimodofy,hawaweki tena mapanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa nini hutaki kuvaa marinda jamani?
😂😂😂vingi vinambana sio
Ila wale faraghani ile mikato yao mimi hoii!marinda kabisaa
Mbona wanapendeza tuu tena utukufu kwa Bwana

Yaani mavazi si tatizo kabisa yaani..
Nimevaa hadi mabaibui,sembuse marinda tu!
Ila tu Kuna shida kwa kweli masharti yetu kule ni ngumu mno aisee

Hasa mambo ya kuja kuchaguliwa mtu aisee..ni changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂hata sio shidaa.. Shida pale mbele pa moto
 
Hahaha dada yako naye alichaguliwa au? Kwa kweli kuna watu roho haziwakubali afu ndiyo unabambikwa sasa
Dah miaka hiyo
Akiwa anakuhadithia dada yangu kuhusu hilo la kuchaguliwa yaani utacheka.
Anasema yaani wanakubambikia mtu mbayaanadhambi yule sista.

Wakaka uvaaji wao unaotakiwa ni suruali za vitambaa zenye mapanga.
Japo siku hizi Kuna vijana walishazimodofy,hawaweki tena mapanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha dada yako naye alichaguliwa au? Kwa kweli kuna watu roho haziwakubali afu ndiyo unabambikwa sasa
Alishaacha kitambo yule
Yeye kwanza alikuwa mvivu hata kusali..anasema nilikuwa nachoka Sana
Ukiwa kule basi maombi marefu na kupiga magoti isiwe shida kwako..Kama hiyo kwako Ni changamoto basi huwezi dumu kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishaacha kitambo yule
Yeye kwanza alikuwa mvivu hata kusali..anasema nilikuwa nachoka Sana
Ukiwa kule basi maombi marefu na kupiga magoti isiwe shida kwako..Kama hiyo kwako Ni changamoto basi huwezi dumu kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiwa mvivu kwenda faraghani na kuomba patakushinda tyu
 
Haya mfanye mrudi na mwenzio Anne
Mimi kwa sasa siwezi rudi mazima kule.

Kuna dogo mmoja nimemuacha udom,anapiga sana drums kanisani ..huwa ananiambia dada mimi nitarudi tu,sasahivi dunia inanisumbua
Yeye suruali za vitambaa ni mtihani kwake.
Anavaa modo yaani,ila siku akijisikia kwenda anaenda tu kusali ila bado hajatubu..familia yao kuanzia babu yake na bibi yake ni wanauwata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa vizuri ndani(unaelewa) huwez kataa
Hakuna jambo linalofanyika uwata ambalo halipo kwenye Biblia... Maswala ya ndoa yanafata taratibu za biblia tuu...
Ujue sio kwamba tunapinga, kwa sababu spiritually hivyo ndivyo inavyotakiwa. Unaomba kwa imani, unajibiwa kwa imani na unapokea kwa imani. Sasa si kuna ule muda tunatazama mambo kwa jinsi ya mwili, ndiyo hapo sasa unasema khaaaa yaani huyu ndiyo anioe, kwa sababu inawezekana kabisa kwa jinsi ya mwili naona mmmh huyu hapana. Mambo ya rohoni.......
 
Mimi kwa sasa siwezi rudi mazima kule.

Kuna dogo mmoja nimemuacha udom,anapiga sana drums kanisani ..huwa ananiambia dada mimi nitarudi tu,sasahivi dunia inanisumbua
Yeye suruali za vitambaa ni mtihani kwake.
Anavaa modo yaani,ila siku akijisikia kwenda anaenda tu kusali ila bado hajatubu..familia yao kuanzia babu yake na bibi yake ni wanauwata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namfahamu huyo dogo... 😂😂
 
Back
Top Bottom