Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Hahahhaha dogo kumbe umeshapiga mahesabu yako makali, ndiyo maana hutaki kurudi sasa hivi mweeh
Ndiyo
Mimi hayo yote nilishayapima.
Mgiriki anaongea simple tu,hajawaza kuhusu matokeo yake itakuwaje[emoji23]
Ni aidha upate faraghani,akikupenda ukiwa faraghani hii haitakiwi,labda km ataingia faraghani na hata akiingia bahati ya kukuoa inaweza isimuangukie[emoji1787].
Ama mtoke wote huku nje muingie faraghani mkiwa mmeshaoana.
Sent using Jamii Forums mobile app