Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16]
20210424_152348.jpg


Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yaani leo nimeota mods wameublock huu uzi,ika bidi niamke kukemea.
Siku wakijaribu kufanya hivyo nadhani tutaandamana hadi nyumbani kwa boss mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]ndoto huja kinyume lakini
 
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bongo fleva nimeacha kusikiliza 2015,ni baada ya mambo ya imani kunikolea sana.
Now nimerudi tena kitaa naona zinaanza kuninyemelea.


Mimi mashairi nitaweka,ila ya zile nyimbo old old .


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hii stura unayotumia sahizi itabidi unielekeze kwa huyo Sadali! Nahitaji vijiti kadhaa
 
Back
Top Bottom