Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba kuuliza ;

Hivi Kuna jamii ya nyoka wenye tabia ya kutema madini yanayotoa mng'ao mkali usiku ?
Kuna mbaba mmoja alishawahi niambia hii kitu ila sina uhakika nayo.

Aliniambia kuwa huyo nyoka ni mkubwa sana ila ni kama nguvu za giza/lijini/lishetani/limzimu namengineyo ya mambo ya kuogofya..

Kile anachokitema huwezi kukichukua katika hali ya kibinadamu ya kawaida,na ikitokea umekipata hicho alichokitema inasemekana hiyo ni bahati yako/tunu.
Hicho anachokitema kinathamani mnooo.

Na kuna majimaji ya dhahabu ambayo yanang’aa mno ni mazito inasemekana yanapatikana katikati ya milima mikubwa kwenye miamba ni nadra sana kuyaona na ikitokea umeyaona,yanaweza kutoweka katika mazingira ya ajabu.na ikitokea pia umeyakinga hata ujazo wa kifuniko cha soda pia hutoweza kuyanyanyua mpka huyo nyota akukute..ukitoka hai mshukuru Mungu/ ukitoka salama na huo uji uji ukienda kuuza pesa yake ndefu mnooooo.

Na pia huyo mzee Ali enda mbali na kusema,ikiwa kama ni ngekewa yako wewe kupata,basi hautokutana na mauza uza wala kadhia ya aina yoyote.

Akasema pia hizo bahati zinawatokea mara chache mno wachungi waishio misitu mikubwa.na anaweza akakutana nayo lakini asiwe katika ufahamu wa utambuzi kuwa ndo yenyewe.
Akaongezea pia hilo lijoka kuna sauti huwa linatoa likiwa linatema hayo madini au kufanya safari zake za nadra sana chini ya bahari

Alinihadithia mengi sana ila naomba kwa leo niishie hapa.
Siku nikibahatika tena tukijaaliwa uzima na afya nitakwenda kumuuliza baadhi ya vitu ninavyotamani kuvijua.

Haya niliyoyaandika hapa Sio kwamba yana ukweli 💯 hapana.yawezekana nililishwa tango la kienyeji pia.ninaimani wajuvi wa mambo wengi wako humu ndani wanaweza kutuambia ukweli .
 
It's another brighter day. Don't worry, be humble...

IMG_20210424_091636.jpg
 
Duh! 🤣 🤣 🤣
 
Haya niliyoyaandika hapa Sio kwamba yana ukweli hapana.yawezekana nililishwa tango la kienyeji pia.ninaimani wajuvi wa mambo wengi wako humu ndani wanaweza kutuambia ukweli .
Mhh shem darling...hizi story
 
Back
Top Bottom