[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii comment kuna uzi nilishawahi kuisoma,sikumbuki uzi gani..yaani nilicheka sana.
Yaani nikitaka kucheka huwa nakuja jf.
Mchumba mm kubet sijui ila huwa naingia mzima mzima na vitenge,viatu,miwani yangu na maparachichi..najisomba mzima mzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Uzi huu mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii comment kuna uzi nilishawahi kuisoma,sikumbuki uzi gani..yaani nilicheka sana.
Yaani nikitaka kucheka huwa nakuja jf.
Mchumba mm kubet sijui ila huwa naingia mzima mzima na vitenge,viatu,miwani yangu na maparachichi..najisomba mzima mzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Acha maneno mingi tupia vitu vya english figure!Nilishaselfika mara kibao humu mkuu
Asenaliiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni sawa tu!![emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha haya nakuombea umpate. Mimi nilijiopolea zangu Baba Mchungaji, huku ni makoti ya suti na mashati ya vitenge kwa raha zetu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo haliwezi kukosekana, mtajuaje natokea Tukuyu[emoji38][emoji38][emoji38]
Wala usiogope boss wangu.Ni hapa jirani tu. Daah hapo kwenye picha staki uone macho yangu mekunduu!!
Sukari ndio inaleta hao nzi.
Kuna mwanamke mwehu hapa ananifanyia kejeri. Ni beki tatu nyumba kubwa mimi Niko hii ndogo amefanya mitego yake i stayed cool, Kuna ndug yang alikuja hapa akamfuata wametongozana huko. Kazi iliyo baki ni kurushwa roho yani ananirusha roho hatari [emoji23]
Mara aweke loud speaker ni sikie ana ongea nae, Mara akiletewa zawad aniambie
Leo nimewakuta sehem wamekaa sikuwaona ameniita alaf akatoe bonge la cheko
Yan mimi wakurushwa roho kweli Mimi
[emoji23][emoji23] inakeraa
Ohooo!! Hebu tuoneWala usiogope boss wangu.
Mimi mbona macho yangu mekundu kama navuta bange vile lakini huwa nayatupia humu bila kujali.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Zipo huko juu zimejaa tele.Ohooo!! Hebu tuone
Sijaiona ya kwako Mtakatifu.Zipo huko juu zimejaa tele.
Selfika basi boss.
Oh poleSijaiona ya kwako Mtakatifu.
HahaaaaaaOh pole
Picha zangu zimejaa pande zote za uzi.
Tangu uzi unaanza mm natupia picha.
Weka yako boss