Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Heaven sent...na nyimbo za kidunia kweli?Kwa nini haliakisi shem?
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Heaven sent...na nyimbo za kidunia kweli?Kwa nini haliakisi shem?
Sawa mpendwa shem[emoji854]Ndiyo hivyohivyo mpendwa
Ngoja nikuwekee mashairi hapa uone jinsi ninavyoyajua [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo hivyohivyo shemela
Ngoja nikuwekee mashairi hapa uone jinsi ninavyoyajua [emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuandalia mashairi hapa.Anasubiri Tenzi mwenzako
Nikifika Mbeya nakutafutaVile nimeshiba maparachichi [emoji23]
Mawazo ya kutoka yamenijiaView attachment 1761655View attachment 1761662
Upo mkoa gani?Nikifika Mbeya nakutafuta
HahaaaaaaKuna watu wanasema wanywa soda ni waleta nzi mezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1761938
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mambo yanakwenda poa sana tu mkuuNi poa kabisa wakienyeji.
Mambo yanakwenda!
Hahaha...
@Saint AnneKuna watu wanasema wanywa soda ni waleta nzi mezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1761938
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Oh kumbe upo Iringa jirani hapa[emoji4]Iringa kwa Sasa.View attachment 1761940
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Saint Anne View attachment 1761966
Zina sukari ila tunakunywa mara mojamojaSoda zina sukari
Hapa Kuna watu wamenikera sana yaani aaaargghhh natamani niyatolee humu yanitoke rohoni [emoji58][emoji58]