Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Sawaa Mkuu...Vizuri sana brother.usipotee sana sasa
Ata nikipotea Jobo kitanileta ulipo... 😂
Sawaa Mkuu...Vizuri sana brother.usipotee sana sasa
Hii stura unayotumia sahizi itabidi unielekeze kwa huyo Sadali! Nahitaji vijiti kadhaa







Aise hapo kwenye Jobo tusilete masihara.Sawaa Mkuu...
Ata nikipotea Jobo kitanileta ulipo... 😂
Take care aseee si upo bado kwa Visiwaa....Aise hapo kwenye Jobo tusilete masihara.
Mambo mengine vipi lakini
Sasa hivi nimehamia misituni.Take care aseee si upo bado kwa Visiwaa....
Mungu mwemaa yanaenda.. Hofu kwako mkuu
Asante Chief tunajitahidi kujivuta kwa juu kidogogame on point..
![]()
Aaah hapo ni vyema kama upo na akina mwaisa now...Sasa hivi nimehamia misituni.
Ni vyema kama yanaenda..ni jambo la kumshukuru Mungu
😘😘kisigino mchongoma.
Kwakweli Mungu ni mwaminifu sana..nazidi kumtukuzaAaah hapo ni vyema kama upo na akina mwaisa now...
Ameniii....
Vip mambo yanaendaje kwako
Unafikiri nitafanyaje sasa jamani😘😘kisigino mchongoma.
Hongera kwa kuweza kuvitembelea katika kitu imenishinda ni kuvaa viatu vyenye kisigino kirefu siwezi .Unafikiri nitafanyaje sasa jamani
Kwakweli asante...maana nikinenepa tu vinanishinda napata tabu.kwahiyo ni mwendo wa kuruka kamba ili niendelee kuwa mwepesi nifurahie laifuHongera kwa kuweza kuvitembelea katika kitu imenishinda ni kuvaa viatu vyenye kisigino kirefu siwezi .
Me sijaona hata moja yani. No harm will be done, if you do it again.Nilishaselfika mara kibao humu mkuu




No worry, whenever pics i will be posting here, you'll be tagged.... happy Sunday to you analysis man😘Me sijaona hata moja yani. No harm will be done, if you do it again.![]()
Vile nasubiria kwa uaminifu mkubwa uposti hapa picha za kienglish figure!😄😄😄No worry, whenever pics i will be posting here, you'll be tagged.... happy Sunday to you analysis man😘
Afu wewe ndiye ulinikatisha tamaa na majungu yako kuhusu picha🤔 nimekumind sana mara ooh kumbe una flat screen, ungekua karibu ningekufinyaa😬Vile nasubiria kwa uaminifu mkubwa uposti hapa picha za kiinglish figure!😄😄😄
View attachment 1763472
🤣🤣🤣0
Afu wewe ndiye ulinikatisha tamaa na majungu yako kuhusu picha🤔 nimekumind sana mara ooh kumbe una flat screen, ungekua karibu ningekufinyaa😬