Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,721
Pamoja mkuuKwa sasa, najiweka busy kwenye project zangu. Natumai ipo siku moyo wangu utakubali hakujawahi kuwepo huyo binti.
Ahsante Mkuu kwa ushauri.
Pamoja mkuuKwa sasa, najiweka busy kwenye project zangu. Natumai ipo siku moyo wangu utakubali hakujawahi kuwepo huyo binti.
Ahsante Mkuu kwa ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kule watsap ameniambia akili niliziacha Chimwaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani inaweza kuwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.
Wiki hii nakula hovyohovyo tu boss,hata idadi sijui[emoji1787]
Njaa ikiniuma nakula maana yananipa pressure,yameiva kwa mpigo[emoji23]
Kuyaacha yaoze roho inaniuma Sana.View attachment 1754078
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee eti yananipa pressure yameiva kwa mpigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza speed ya kula... [emoji23]
Mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli hajakosea
Oh pole Sana mkuu[emoji26]Hii ni moja ya dhoruba kali sana kuwahi kunikumba in my lifetime.
Chanzo cha yote kuhama shule.
Shule niliyosoma form 1 na 2 haikuwa vizuri kitaaluma, ndipo baba yangu akaamua kunihamishia shule ya kina Sarah.
Toka form 3 when I first met her I loved her so much.
Najuta kuhama shule.
Wameshalala[emoji1787]ninawindwa nangojea watesi wangu walale..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi Sasa naona nimeshayashinda japo mnyukano ulikuwa mkali Sana.
Yamebaki matatu tu ambayo asubuhi nikiamua nayamaliza tu!
View attachment 1754115
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
Halafu sijui ni kweli maana hata mm mwenyewe sijielewagi Mara nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isije tu kuwa kweli zilibaki Chimwaga[emoji1787]
[emoji848]CS[emoji5][emoji5][emoji5]Jack Palladino View attachment 1754065
Daaah.. jaman si tualikane tu nije nkusaidie kuyavuna/alika majiran zako, au na kugawa inakuumaNashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.
Wiki hii nakula hovyohovyo tu boss,hata idadi sijui[emoji1787]
Njaa ikiniuma nakula maana yananipa pressure,yameiva kwa mpigo[emoji23]
Kuyaacha yaoze roho inaniuma Sana.View attachment 1754078
Kama hadi mwalimu alipiga vyombo,wewe ni nani hata usipige vyombo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nipige vyombo kwanza.
Nitaweka nzimanzima
itakuwaAu ndo hatutambuliki