Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Ambao tupo kwenye mahusiano bila kujijua herufi gani hapo...
Ambao tupo kwenye mahusiano bila kujijua herufi gani hapo...
DahHii verse ya kwanza naielekeza kwa Sarah wangu, mwanamke aliyetekaga moyo wangu kisawasawa..
Last year was remarkable, Kipenzi changu Sarah alifanya maamuzi ya kibingwa kuamua kuolewa na kidume kingine
I wish her all the best, huku akishushia na hii ngoma...
Sarah bhana!
Hello, Hello baby
Mmmh mmmh
Natamani niandike barua na niitume kwako
Ila nahisi hutaisomaa, utaikataa
Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
Maana hata ukiiona utaikata
I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia
Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
Mpaka kesho, eeh eeh
Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mmh mmh eeh
Shukrani wa kwetuu....Oh pole boss
Tusalimie na kasefie sasa
Nashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.Hahahahh kwa siku una tumia parachichi ngapi ? Hay bila chumvi hayaendi


NasubiriShukrani wa kwetuu....
Ngoja nizame kwa Gallery....
Ndio Mkuu, alinipoka ubingwa akampa mwingine.![]()




Usikute haya yote mia tano😂Nashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.
Wiki hii nakula hovyohovyo tu boss,hata idadi sijui
Njaa ikiniuma nakula maana yananipa pressure,yameiva kwa mpigo
Kuyaacha yaoze roho inaniuma Sana.View attachment 1754078
Sawa sawaa...Nasubiri
Si bora hata ingekuwa jero.Usikute haya yote mia tano![]()




🤣as expectedSi bora hata ingekuwa jero.
Ni bure kabisa yaani,sijatoa hata Mia![]()
Au ndo hatutambuliki
Ukiona mapenzi huyawezi piga chini fanya ishu nyingine tuu..Kweli Mkuu, maumivu yake si mchezo.
Kanikata stimu ya mambo mengi sana.
Pole boss
Ilikuwaje mkaachana?I loved her so much..![]()
as expected
Ila mbeya ufe bila kunenepa mwenyew tuu








Bado waitafuta tu selfie?Sawa sawaa...
Ongeza speed ya kula... 😂
Mimi mbona hata sinenepi.
Mwili ni uleule,nimenawiri tu kidogo sana.
🤣ninawindwa nangojea watesi wangu walale..Bado waitafuta tu selfie?