Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210406-WA0003.jpg
 
Hahaaaaa....!!!umenikumbusha kitu last year niliacha diet the day kaniona anauliza were you sick?namuambia noo...why umekonda nkasema I'm duin diet ..loooh!,kaka nilichambwaaa Mimi sijaona sikuamini nkaacha diet kabisaaa...nikawa nalazimishwa kula km mlafii but since then ule mwili haujarudi tena... Nilipigwa suspension !!!!sina hamuuu!!!!from that day km kanipa nuksi sijanenepa tena kaka!!!!nkagundua kumbe wanaume wanapenda wanawake wanene jamani!!!;!!!!!
Eeh asikwambie mtu bwana...pa kushuka pawepo ndio tunavyotaka. Achana na hizo diet kwa sasa..
 
Back
Top Bottom