Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Dah jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante shemwakienyeji.
Nikwema kabisa Elly za kwako baba
Dah jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante shemwakienyeji.
Nikwema kabisa Elly za kwako baba
Ewaraaaaa😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘Wako vzr Shabiby wanajitahidi sana!
Kapicha kako haka View attachment 1751895
Aisee, huyu modo ni nani?Wako vzr Shabiby wanajitahidi sana!
Kapicha kako haka View attachment 1751895
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]hahaha!it is long time babes...!!!hyo picha hako kamwili hakarudi tena aseehhh! Hapo it was kwenye 2015 hivi rafiki sio 2017 nilikosea yaani najitamani mnooo!!!kwa sasa nimepungua sana km last year Dec I was 65 I tried to practice diet kwa Mara ya kwanza nilikonda nikaacha diet maana nilitaka nione naweza au siwezi...since then nimeishia hapa kwa 68!Ewaraaaaa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hii picha naipenda balaa[emoji7]
Akhsante Sana Madame [emoji4][emoji120]
Yaani ningekuwa na hela Leo ningekupa ukanywe soda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Mimi hapo but miaka kadhaa iliyopita kaka!Aisee, huyu modo ni nani?
Hapo kamwili kalikuwa kazuri Sana.[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]hahaha!it is long time babes...!!!hyo picha hako kamwili hakarudi tena aseehhh! Hapo it was kwenye 2015 hivi rafiki sio 2017 nilikosea yaani najitamani mnooo!!!kwa sasa nimepungua sana km last year Dec I was 65 I tried to practice diet kwa Mara ya kwanza nilikonda nikaacha diet maana nilitaka nione naweza au siwezi...since then nimeishia hapa kwa 68!
Kuna watu tunawanenepesha kwa miandiko yao, kumbe ni vimodo...duh![emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Mimi hapo but miaka kadhaa iliyopita kaka!
Hahaaa...Dada huu mwili sijui kwa kweli maana mi ni mroho hatari....!!!hapa kufunga ndo kutanipunguza tena...!!!ila huko mbele sijui ingawa tumbo halipungui kwa kua sikufunga na sivai mikanda miye kujibana siwezi!Hapo kamwili kalikuwa kazuri Sana.
Lakini hata sasa naona hujabadilika Sana.
Baking tu hapohapo 68[emoji4].
Ngoja nikatunze kapicha kazuri[emoji7]
Mi mbongeee kaka tena haswaa!!!hyo ya mda kidogoKuna watu tunawanenepesha kwa miandiko yao, kumbe ni vimodo...duh!
Fresh kabisa!
Tupia ya sasa hivi tuone, huo umodo sasa bwashe anashika wapi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mi mbongeee kaka tena haswaa!!!hyo ya mda kidogo
Nini tena jmniDah jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa....!!!umenikumbusha kitu last year niliacha diet the day kaniona anauliza were you sick?namuambia noo...why umekonda nkasema I'm duin diet ..loooh!,kaka nilichambwaaa Mimi sijaona sikuamini nkaacha diet kabisaaa...nikawa nalazimishwa kula km mlafii but since then ule mwili haujarudi tena... Nilipigwa suspension [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]!!!!sina hamuuu!!!!from that day km kanipa nuksi sijanenepa tena kaka[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!nkagundua kumbe wanaume wanapenda wanawake wanene jamani!!!;[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!!Tupia ya sasa hivi tuone, huo umodo sasa bwashe anashika wapi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Waoooo!!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]Chichi[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1751957
Mi ndo hii njoo tufuturuWoyooo[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji1787][emoji1787]
Haha...mambo vipi mkuuUmeanza mzee[emoji39]