Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ah yule tena akianza mambo yake ya kutema ung'eng'e na kujibu aya moja baada ya nyingine mbona tutatafutana humu
Tena huwa anajibu neno kwa neno..
Yule jamaa Ni namba nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kimbunga Cha arusha Cha Jana kitahamia humu.
 
, [emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana.. Daaah haya bhana, yaani umeniharibia na kwingine kote.
 
word!!!
 
Nakujua vema Sana.
Hilo ondoa shaka

Mimi nimeruka stage
Amen mdogo wangu nataka kuwa kama wewe unaonekana wife material sana kwa sasa mimi siyo wife material kabisa na wala sina mpango wa kuolewa ila nikianza kufikiria kuhusu kuolewa nitakuwa tu wife material[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]one day yes, never say never.
 
kwa sasa mimi siyo wife material kabisa na wala sina mpango wa kuolewa ila nikianza kufikiria kuhusu kuolewa nitakuwa tu wife material [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Tena huwa anajibu neno kwa neno..
Yule jamaa Ni namba nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kimbunga Cha arusha Cha Jana kitahamia humu.
Kabisa tena kitakuja kwa ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…