Selfika na JF: Snap it. Show it


Haswaa sasa huyo ndiye kidogo nakufananisha naye muandiko humu
 
Haki mpka muda huu bado mate yananijaa mdomon utafikiri mjamwepesi kha...
Hivi inamaana don amekosa hata kadigidigi au kaswala kweli mpka ale hicho kiumbe apo
magonjwa ya mlipuko nje nje

Wengine tunavyoogopa hata kuwaona tu achilia mbali kuwashika halafu unasikia kuna mtu anawala doh unaweza jikuta unajiuliza hivi huyu kwao hakufunzwa adabu au
 
Aise Poleni..nitajaribu siku nyingine nikipata safari ya huko.ingawa nilifurahi sana kuona maji yakiporomoka kutoka milimani.mbele ya chita ukivuka sijui jeshin Mungu babaaa sina kumbukumbu vizuri.

Taratibu utazoeana nae haikuwa kazi ya siku moja kumwambia jinsi ninavyomkubali kwahiyo taratibu taratibu naimani kama unamkubali basi ipo siku.

Unajua pia si kazi rahisi sana kuruhusu watu mliokutana mitandaoni wakujue nje ya mitandao so ninaelewa mtu akiwa mgumu kukutana na mtu wa mitandaoni.
Hata kama ni wewe au mimi sio kazi rahisi sasa aise..hayakawii kutokea yale kuanza kurushiana picha watu..
 

Wengine tunavyoogopa hata kuwaona tu achilia mbali kuwashika halafu unasikia kuna mtu anawala doh unaweza jikuta unajiuliza hivi huyu kwao hakufunzwa adabu au
😆😆😆😆😆sasa Hebu jaribu ku imagine ndo babe wako halafu anakuja umkiss..chaaa naweza tapika hadi sagamba🤮
 
Dah
nimemiss sista wangu jamani.
Ngoja nikamtafute
 
Hii barabara

Zimenikumbusha barabara za kijinini kwetu kabla hawajatandaza mkeka
 
Kama lile la makengeza lile.
Nilicheka aisee..halafu nilikuwa nimebanwa na haja ndogo,almanusura niuachie sebuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…