Yeah mwenyewe nilishindwa kuimalizia ilifika kipindi nilikosa muda wa kuiangalia. Nikasema mbona hawaimalizi mwisho wa siku nikaona acha waendelee tu mi niishie hapa.
Yeah mimi nilikuuliza huku huku selfika. Hiyo system naielewa sana mama unakuta mtu unamkubali humu ila unashindwa uanze vipi kumuambia sasa siku akijichanganya akakuquote tu unaona yes hapa hapa nitoe ya moyoni.
Ni ndefu utafikiri Treni ya TAZARA.
Waaahii ilinishinda..halafu kuna siku nilikwenda mlimba nikakukumbuka sana
Aiseh ni kweli kabisa ninamkubali mno na anajua ninamkubali sana.akianza kutoa ushauri kwa kuandika gazeti navuta kiti na mahindi naanza kuchoma..ananondo sana.hana tofauti sana na Heaven Sent katika uandishi