Selfika na JF: Snap it. Show it

Njoo tushinde JF mama maana tushaambiwa hatuna kazi
Hilo neno nililinasa kichwani....
Yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nanyie mmeuwasha Moto...hasa huyu Hannah Haki ya Nani anaweza kumfanya mtu atapike utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oohh hapo sawa fanya hizo ng'ombe zije nyumbani ndugu zako tuondokane na umasikini jamani nilishakuambia mwanaume mwenye hela tu ndiyo shemeji mwanaume asiye na hela huyo ni mume wa dada sasa tafadhali tunahitaji shemeji hatuhitaji mume wa dada sawa eenh??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua kumdharirisha Lizarazu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo Lizarazu Ni mume wa dada au sio!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…