Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Jamani ndo hadi mtoto??🥺🥺🥺Haya mambo magumu sana.
Walimzurumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanaenyeka hawajui chochote.




