Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Mmhh siyo yale mataa ya kimara-mbeziKarma eeeeeh hapa wapikuna laki hapaView attachment 1748199
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mmhh siyo yale mataa ya kimara-mbeziKarma eeeeeh hapa wapikuna laki hapaView attachment 1748199
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Much love to znzU welcome to our beautiful IslandView attachment 1748165
Dogo,Sasahivi wako busy kumtupia lawama.
Kila kitu yeye
Moyo wangu unaugua mno.
Ngoja tuwaache wajuvi wafanye mambo .
Hivi kwani hawawezi fanya tu bila kumsimanga?
Mkuu ntakuwa muongo...mimi ni fifa au need for speed, grand theftSiyo mimi mkuu
Hivi mkuu unalipata game la temple run
Ndugu yangu mbona hujataja zile game zako pendwa za ki-king Mswati?Ni umesahau?Mkuu ntakuwa muongo...mimi ni fifa au need for speed, grand theft
Ila ndugu yangu umenionea wivu karma kuniulizia au?Ndugu yangu mbona hujataja zile game zako pendwa za ki-king Mswati?Ni umesahau?
Kwa Karma nimemtumia hadi Mwalimu ila imeshindikana ndugu yangu!Huyo nakugawia bure.Ila ndugu yangu umenionea wivu karma kuniulizia au?
Kwa Karma nimemtumia hadi Mwalimu ila imeshindikana ndugu yangu!Huyo nakugawia bure.





mimi naogopaaa Nilijua ndie mwenye baiskeli😁😁kumbe roli
Hata mimi nimeanza kulitangaza neno la Mungu ndugu yangu.mimi naogopaaa
Siku hizi namtumaini Mungu
Hata mimi nimeanza kulitangaza neno la Mungu ndugu yangu.View attachment 1748445






We jamaa 😁😁😁
🤣🤣🤣🤣khoNdugu si nmeweka picha ya CAG au
Usinitoe kwenye msingi wa swali nijibu plz
We jamaa![]()