financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Acha wivu na vyakila vya Lizzy😀Utafikiri umekula kweli kumbe sahani yako si ajabu umedonoa donoa tu kama ilivyo kawaida yako. Yaani kuna wakati naangaliaga jinsi unavyogusa gusa vyakula tu na kuviacha mpaka roho inaniuma yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
kamekua na kichwa kama mkwepuUmekanyoa kipara jamani[emoji23][emoji23]
Ila kamependeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah lolTeam zimamoto muda huu tulikuwa tunaburudika tu baada ya kuzima Moto Usiku kucha kwa muda wa wiki 2[emoji1787]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kila ukisinzia alarm inapiga kichwani huku ikisema"unachokitafuta utakipata"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kuwa umesema, nitakwenda.
Kauli yako ni amri kwangu[emoji23]
Asante sana MkuuMambo mengi muda ni mchache.
Karibu tule
Hakuna chakula kutamu kama chakula Cha kwenye kuni.Natafuta lemchumba.sifa zangu..naweza kuishi kijijini na kupikia kuni [emoji16]
View attachment 1744064
Selfika kidogo basi boss wangu.Asante sana Mkuu
Mbona Ruth alikuwa anatoa amri na wanaume wanatii-refer agano la kale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunichekesha,tafuta kauli za watu walio serious.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Natafuta lemchumba.sifa zangu..naweza kuishi kijijini na kupikia kuni [emoji16]
View attachment 1744064
Sijakuona mda sana wewe mtoto.Natafuta lemchumba.sifa zangu..naweza kuishi kijijini na kupikia kuni [emoji16]
View attachment 1744064
Tz tuna amiri jeshi mwanamke tayari.Mbona Ruth alikuwa anatoa amri na wanaume wanatii-refer agano la kale.
Naomba uwe amiri Jeshi Mkuu wa mtima wangu, nakuhaidi kukutii daima[emoji23]
Dah wewe leo wewe[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]Tupo hapa Same, tunamalizie sherehe ya kufufuka kwa Masihi.
KaribuniView attachment 1744124