B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Una mbwe mbwe vitu gani saizi we nae 😂😂😂😂Ndio naenda hivi[emoji23]
Kuna vitu nilikuwa naandika andika
Una mbwe mbwe vitu gani saizi we nae 😂😂😂😂Ndio naenda hivi[emoji23]
Kuna vitu nilikuwa naandika andika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Una mbwe mbwe vitu gani saizi we nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu lala uko😂😂Dr Ipyana kibona[emoji7]_Wanishangaza
Ubarikiwe milele
Fadhili zako ni za milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
[emoji444][emoji445][emoji442][emoji446][emoji445][emoji450]
😂 😂 😂 😂 Unaandik cheque sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha yakichanganya tunajiandikia tu hata visivyoeleweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheque book zimekuwa za mchezo siku hizi baba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaandik cheque sio
Nasubiri picha..Hebu lala uko[emoji23][emoji23]
Inabidi nikae karibu na wewe siku moja unifundishe kuandk nina note book since 2020 sijaandik kitu kuhofia limwandiko libaya.........Nasubiri picha..
Yangu kwako hiyo[emoji4]View attachment 1737238
Ujumbe mzuri thanks nalala unono leo.Nasubiri picha..
Yangu kwako hiyo[emoji4]View attachment 1737238
Kanisani wanasema ata ukiwa huna hela sema nina hela utazipata😂😂Cheque book zimekuwa za mchezo siku hizi baba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inabidi nikae karibu na wewe siku moja unifundishe kuandk nina note book since 2020 sijaandik kitu kuhofia limwandiko libaya.........
Naanza mission nirepair mwandiko wangu nianze kuandika riwaya.
Ee babaKanisani wanasema ata ukiwa huna hela sema nina hela utazipata[emoji23][emoji23]
Naomba picha yako basiUjumbe mzuri thanks nalala unono leo.
Sindio kama sio cheque basi ulikua unasahihisha madaftar ya watoto 😂😂Ee baba
Ila zinapatikana kwa kutafuta,si kuokota[emoji1787]
Wewe nimeomba yako sijaona kitu,Naomba picha yako basi
Oh jamani[emoji25]Wewe nimeomba yako sijaona kitu,
Yangu nitakupostia siku ingine[emoji23][emoji23]
Nitajuaje kipaji changu eti?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe mvivu kuandika Sana,basi tu
Watoto wamefunga shule..halafu mimi sina wito wa ualimu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sindio kama sio cheque basi ulikua unasahihisha madaftar ya watoto [emoji23][emoji23]
Hii oh jaman tamu imenikaa moyoni nataka niiskie kwenye simu😂😂Oh jamani[emoji25]
Usinifanyie hivyo jamani