Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watoto wamefunga shule..halafu mimi sina wito wa ualimu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi vumilia kabisa purukushani za kufundishana na kusumbuana.
Utanyonga watoto wawatu kuns rafiki yangu alipata selection ya ualimu automatic after 4,alikua anaponda sana walimu saivi yeye nikamuuliza vipi unatuchapia watoto wetu ee😂😂😂 😂, akasema hivi vitoto vibishi hujui tu
 
Utanyonga watoto wawatu kuns rafiki yangu alipata selection ya ualimu automatic after 4,alikua anaponda sana walimu saivi yeye nikamuuliza vipi unatuchapia watoto wetu ee[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23], akasema hivi vitoto vibishi hujui tu
Mimi siwezi kabisa kufundishana
Mara naongea nafundisha, wengine wapo wanapiga stori aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nguvu zenyewe za kuchapia sina!
Ntapasuka kwa hasira bure..

Raha ya kazi unayemuhudumia akusikilize kwa makini,msikilizane[emoji7]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ndo definition ya maboya kama maboya yaaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi eeeh?[emoji23]
Ila mimi sikubali bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom