Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Haaa kweli?Sijui mchumba
Sijawahi hata kwa bahati mbaya[emoji23]
Halafu naogopa sana maji
Haaa kweli?Sijui mchumba
Sijawahi hata kwa bahati mbaya[emoji23]
Halafu naogopa sana maji
Hahah!Nimependa sana avatar yako
Matches uvaaji wako.
Haki tena [emoji23][emoji23][emoji23]Haaa kweli?
Nitakufundisha mchumbaHaki tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kabisa
Bora unifundishe kunywa bia nitakubali ila si kujaribu kuniingiza mimi majini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakufundisha mchumba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora unifundishe kunywa bia nitakubali ila si kujaribu kuniingiza mimi majini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenifurahisha sana[emoji28]..bora pombe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanicheka?[emoji1787]
Mara mia ninywe pombe kuliko kwenda kuogeleaUmenifurahisha sana[emoji28]..bora pombe?
Dah kuogelea very simpleMara mia ninywe pombe kuliko kwenda kuogelea
Shona litakupendeza sana,Hahah!
Nataka mwaka huu nishone gauni kama la huyo dada kwenye avatar. ..nililipenda Sana.
Mimi mwenzio sijui[emoji23][emoji23][emoji23]Dah kuogelea very simple
@Saint Anne alinifundisha kuto kukata tamaa nashukuru kwa kweli si haba hapa nilipo fikia wallah [emoji7]Ngoja nipambane kama wewe ulivyopambana hadi kikaeleweka![emoji1][emoji1][emoji1]
Njtajitahidi niende nipige japo kapicha.Shona litakupendeza sana,
Uende photoshot pia.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji4][emoji177][emoji177]@Saint Anne alinifundisha kuto kukata tamaa nashukuru kwa kweli si haba hapa nilipo fikia wallah [emoji7]View attachment 1736807
Achana na mpera aiseee kuna mianzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] kile kifito cheke eeh kinachapa adi akiri inakukaa sawaUle mpera ukiwa mwembamba unanesa vizuri sna.
hahahaha kwahyo mwakalinga nani??Mwakalinga.
Kanisani outreach tulikokuwa tunaenda kulikuwa na mtumishi anaitwa Mwakalinga,mwenyekiti wa maombi.
Uoneshe na nia oooh!!! sasa wewe kumuita tu unamuita kama unafokaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ngoja nipambane kama wewe ulivyopambana hadi kikaeleweka![emoji1][emoji1][emoji1]