Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona niliweka mwanzoni huko niliifuta bada ya kuchimbiwa mkwara wassap kwamba nije kuitoa ngoja akili zangu za heineken zikinituma nitakuja kuweka tena baba wa mtoto mzuri [emoji847]

Jirani mi mwenyewe sijaon hata unyayo wako...kwelii??
 
Ulivyosema boss lady nimecheka nikakumbuka pia, kuna siku Erick kanipigia whatsapp video ananiambia tuonane basi natata nikumiliki maana nishazoea bankers, account clerks, wamiliki wa maduka ya nguo ila sijawahi kumiliki md, mkurugenzi.
InshaAllah maneno yenu yakawe heri kwangu nitakuwa bosslady na mmiliki wa kiwanda kama bakhressa.
Sidanganyiki dada angu boss lady
 
Daaa kuoa mwanafunzi aliemaliza chuo halafu anaviwango vya tbs yataka moyo sana...yani wametumika balaa,mume unaweza kua mtu wa 200 kwenye mwili wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hapana mkuu nakupinga ukianza kuconfese wewe mme wa 200 yaliyo nyuma ya pazia wewe utachomwa moto alafu yeye atabaki nakuapia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…