Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
IMG20210319221327.jpg
 
Maisha yanaendelea........
Yaani natamani ata mwaka huu lakini means hazikubali, usikae kijijini akili inarelax njoo mjini tuisome namba.
Fanya hima
Mjini nakaaje jamani!
Unataka nife njaa mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fanya hima
Mjini nakaaje jamani!
Unataka nife njaa mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅
Unakufa njaa jaman na mimi nipo sitokubali ever.
Niko mjini kutafuta sometimes nikiwa na wewe uku mjini ningependa weekend ukae mahali ufurahi, beaches zote tunamwachia nani? Jaman!!!
 
Back
Top Bottom