Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzigo uwe wewe the thing i treasure the most and willingly to protect till the ends.
Huku nilipo sasa, kuna swimming [emoji474] pools tu,
Beach [emoji905] tutaenda,hujawai kwenda mtoni Beach pori[emoji28][emoji28]
Whooooiii[emoji134]
Mbona hayo mazingira si rafiki kwangu Sasa!
Sijui kuogelea..hiyo swimming pool nitaishia kuitazama kama televisheni.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mtaani sio vizuri watu wakufahamu sana,reputation inaweza ikaharibika kirahisi mno.
Ata kwenye mahusiano haisharuwi kuwa kwenye na mtu wa kitaani kwako according to kitaolojia.
Hahaha!
Mwingine mtaani haufahamiki kabisa hadi siku ukionekana wanadhani umevamia mtaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni mbaya pia
 
..
1f17788f7ada422fa8393788c0314fbc.jpg
 
Back
Top Bottom