Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

namsoma kigogo hapa
20210319_224427.jpg

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Unakufa njaa jaman na mimi nipo sitokubali ever.
Niko mjini kutafuta sometimes nikiwa na wewe uku mjini ningependa weekend ukae mahali ufurahi, beaches zote tunamwachia nani? Jaman!!!
Mjini maisha magumu..
Sema kwa vile upo basi sitapata tabu sana japo sipendi kuwa mzigo kwa mtu[emoji4]

Nikija utanipeleka beach??
Sijawahi enda tangu nimezaliwa[emoji1787][emoji1787]
 
Mjini maisha magumu..
Sema kwa vile upo basi sitapata tabu sana japo sipendi kuwa mzigo kwa mtu[emoji4]

Nikija utanipeleka beach??
Sijawahi enda tangu nimezaliwa[emoji1787][emoji1787]
Mzigo uwe wewe the thing i treasure the most and willingly to protect till the ends.
Huku nilipo sasa, kuna swimming 🏊 pools tu,
Beach 🏖 tutaenda,hujawai kwenda mtoni Beach pori😅😅
 
Mimi sioni tatizo.
Samia ni mama .
Hiyo gender inequality utakuwa umeiweka wewe[emoji4]
Mbona miaka yote wababa wameongoza na wala hatukulalamika!
Tena nilikuwa napenda mh baba .
Mimi sioni tatizo.
Samia ni mama .
Hiyo gender inequality utakuwa umeiweka wewe[emoji4]
Mbona miaka yote wababa wameongoza na wala hatukulalamika!
Tena nilikuwa napenda mh baba .
Hmm haya, ndugu usiku mwema
 
Back
Top Bottom