God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,531
Nitumie nini kutengeneza kilevi usiku huu huu wakuu?
Wakali wa ma titration nipeni muongozo nianze kuchemsha madude![]()
Mkuu mimi nilikuwa na k vant yangu natembea nayo mfukoni
Nitumie nini kutengeneza kilevi usiku huu huu wakuu?
Wakali wa ma titration nipeni muongozo nianze kuchemsha madude![]()
Mkuu mimi nina furaha ya ajabu,nimejikuta leo napiga Komoni baada ya Bia,Konyagi na K-vant kushindwa kufua dafu!😄😄😄Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu furahaa inaninyima usingizi,sasa hivi ni saa 3:53am usiku ila nipo macho kodo!Kweli huwezi jua litakalotokea...yani nimetafuta bia kwenye friji hamnaa,k vant kabatini hamnaa hata kisavanna cha wife hamna.....
Daaaaa na siwezi toka saa hii
Kaandaeni sherehe sasa
BIBLIA Inasema:Hivi wewe ni binadamu wa kawaida kweli?
Acha uchawi basiBIBLIA Inasema:
"Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele na kusherekea"
(Methali 11 :10)
Hata hayo maneno ya biblia hutaki kuyaamini?Wewe ni nani hata upinge maneno hayo?Sasa unataka nisisherekee waovu waangamiapo?Mimi ni nani hata nipingane na maandiko matakatifu?Acha uchawi basi
Unaboa
Hata hayo maneno ya biblia hutaki kuyaamini?Wewe ni nani hata upinge maneno hayo?Sasa unataka nisisherekee waovu waangamiapo?Mimi ni nani hata nipingane na maandiko matakatifu?
Hivi na ufisi wangu naruhusiwa kumsifia rais wa nchi?? Maan hilo jicho daaa mama anaonekana fundi sana


Jicho legevu!😄😄😄Hivi na ufisi wangu naruhusiwa kumsifia rais wa nchi?? Maan hilo jicho daaa mama anaonekana fundi sana![]()
Hivi na ufisi wangu naruhusiwa kumsifia rais wa nchi?? Maan hilo jicho daaa mama anaonekana fundi sana![]()








TupoooMmh watu wameenda wapi humu ndani?