Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha mtu anayetumia iphone anaanzaje kumkashifu mtu anayetumia samsung kwa mfano??

Anyway umeongea maneno kuntu sana mama tumekusikia tutajitahidi kutumia lugha nzuri mdogo wangu..
 
Sasa tofauti kati ya huyo rafiki yako na mimi ni kwamba huyo rafiki yako anajikubali na anaponda watu ila mimi sijikubali na sipondi watu

Yaani mimi kama mtu ni mzuri namsifia ila kama ni mbaya simpondi huwa nakaa kimya tu maana najua kuna watu wengine wanamuona mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…