@Mshana Jr ni nini sasa

Mama Zubeda ndo nani uncle Mangi
Kumbe ni chombezo uncle Mangi.asante![]()
Chombezo: Bao tatu za mgeni!
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI! Umri…………………..18+ Sehemu ya 1 Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha ilikuwa ya uhakika! Muda huo ndiyo nilikuwa nimeshuka kwenye basi lililonileta mpaka Sumbawanga,ilikuwa...www.jamiiforums.com
Huo u anko umeanza lini??Kumbe ni chombezo uncle Mangi.asante
Kuna lori limekuja kushusha bia za bure hapa kijiweni kwangu leo,watu wameshaanza kulewa!Ni furaha kila mahali.Mzee wa chura Behaviourist hebu nisaidie kudadavua jambo hapa, maana mie bado sielewi. View attachment 1724457View attachment 1724458
Tobaaaaaaaah kumbe kweli, mweeeeeeh.Kuna lori limekuja kushusha bia za bure hapa kijiweni kwangu leo,watu wameshaanza kulewa!Ni furaha kila mahali.
View attachment 1724479
Nimeuanza leo uncle Mangi😁😁😁Huo u anko umeanza lini??
Unataka kuninyima nini jiranii?
Njoo niutulize moyooTatizo moyo..
😌😌😌Tobaaaaaaaah kumbe kweli, mweeeeeeh.
Sitaki sasa ... NimekataaaaaNimeuanza leo uncle Mangi![]()
Nikuite nani sasa wewe mzee wa masangaSitaki sasa ... Nimekataaaaa
Anataka umpe cheo alicho nacho babu,kwa sababu babu anaringa hataki cheo hicho!🤗🤗🤗Nikuite nani sasa wewe mzee wa masanga
Nalewaa nitakujibu baadae...acha nilewee si nilifeNikuite nani sasa wewe mzee wa masanga
Haya uncle Mangi..endelea kulewa ukikaribia kuzima uje uniambia sasaNalewaa nitakujibu baadae...acha nilewee si nilife
Babu yupi huyo tena uncle frog..😅😅😅Anataka umpe cheo alicho nacho babu,kwa sababu babu anaringa hataki cheo hicho!🤗🤗🤗
Zikikimbilia Chini nakuja pm piaHaya uncle Mangi..endelea kulewa ukikaribia kuzima uje uniambia sasa