Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani polee cc, ila sup inauma mnooh, km una roho nyepesi unaweza kesha unalia siku nzima yaan. Hawa lecturers mda mwingine wanaona sifa kufelisha watoto wa watu. Khaaaaah
Ulie siku nzima wakati semester inakutazama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilipata semester ya kwanza ya mwaka.Nilirudi semester nyingine nikijua kabisa nina sup ya semester iliyopita

Hiyo soma yake kama mwehu yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema wallah afe kipa afe beki sipati tena aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza mie nasema ukweli, itokee nika disco baaas, safari ya Elimu kwangu iaishia hapo tyuuh. Siwezi kurudia rudia upya mie. Aaaaah
Mimi nilisema nikidisco hata home sirudi[emoji23]
Nadhani ingetokea hivyo ningekuwa kichaa sasahivi.
 
Saint Anne uliniponza ujue [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kaja rafiki yako basi kapita na like tu kama hajaona kitu vile

Mishe imekwama ngoja nimove on niangazie watu wengine lbda nitapata [emoji18]
Mwee wizooo

Mambo yamenibana,kazi nyingi zimenibana hadi zinataka kuniua
 
Back
Top Bottom