Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkimuudhi Sana anasonya
Basi akianza kukemea na kile kigugumizi..anasema tutakutana kwenye paper
Nimekumbuka advance Sir wa math, alikua ana kigugumizi sasa hasira na gubu ndo kwake, akiwa class akiongea au kuelezea kitu, sasa wanafunzi wakicheka atasema hivyo tutaktan kwenye test, chini ya 70 nafia mtu,

Bas atatoa test utakuta wa kwanza ana chini ya 70.. Jamani atatandika fimbo km chizi lol. Yaan class zima linanuka stick tyuuuh mweeeeh. Sitamsahau kamwee lol.
 

Attachments

  • 412BW56MvEL._AC_SY400_.jpg
    412BW56MvEL._AC_SY400_.jpg
    13.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom