Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
DahHapa hapa selfika ni mwenyej sana...ni mtu ambaye ata ukiandika utoporo yeye ana like![]()


Mkweeeeeepuuuuuu
Woyoooooooooo
Ni mkwepu???
DahHapa hapa selfika ni mwenyej sana...ni mtu ambaye ata ukiandika utoporo yeye ana like![]()


Ulitaka kufeli AnnieHaahaha
Umenifungua akili
Ok sawa mkuu, ile siku ulipendeza sana na ile miwani yako

Si kwemaKwema Annie?
Yaani angesema toka mwanzo kwamba ni mkwepu wala asingeumiza kichwa hivyoUlitaka kufeli Annie
Hahah niaje family friend wa mtoto mlito na mjomba
Vipi mkuu? Ulitokelezea
Zipo nyingi unataka ipiSi kwema
Kwanza weka selfie yako kabla hatujaendelea
Mjomba siku hizi kanikimbia,anakwepa sana ushauri wangu sasa hivi!Hahah niaje family friend wa mtoto mlito na mjomba



Alitaka uumize kichwa kidogoYaani angesema toka mwanzo kwamba ni mkwepu wala asingeumiza kichwa hivyo
Nzuri nzuriZipo nyingi unataka ipi






Kwenye sarawili uone niniNzuri nzuri
Inayoonyesha viatu na sarawili![]()
Mimi alivyosema mtu mwenyewe kauzu,nikawaza sijui atakuwa naniAlitaka uumize kichwa kidogo

Hahahah mjomba mswati anapambana kurudisha ndoaMjomba siku hizi kanikimbia,anakwepa sana ushauri wangu sasa hivi!![]()
Unawaza mguu wa toto Tena jamaniKwenye sarawili uone nini







Hivi kwa nini ilivunjika?🤔🤔🤔Hahahah mjomba mswati anapambana kurudisha ndoa
Unawaza mguu wa toto Tena jamani
Si tulikubaliana tunaangalia picha tu![]()



