Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuishi vyote hivyo kuna hijati msaada mzito waroho wa mungu.
 
hahahahaha nimecheka sana....jamaaa kaandika makala ndefu mnoo jibu linakuja kwamba yy sio MZIMA

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sasa ningefanyaje?wakati namuona si mzima[emoji1787]
Kama yeye tu aliyocomment jibu fupi kwenye essay yangu pale juu.
Akasema msitari nilioweka ni fake.
 
Sasa ningefanyaje?wakati namuona si mzima[emoji1787]
Kama yeye tu aliyocomment jibu fupi kwenye essay yangu pale juu.
Akasema msitari nilioweka ni fake.
Watu wanamahaba na upenzi/chuki/nyongo nyingi sometimes wanaonyesha hisia zao kwenye kila kitu,

Mistari uliyoweka sio fake lakini mahaba/hasira zake zinamjibia.

Morning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…