Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wow am good, nilikumiss sana.@S.T.O.I.C
How have you been?
AhWow am good, nilikumiss sana.
Correct your tag mama nisingerudi hapa nisingeona![]()

Hahahaha, asee nitakutafuta bestYaani sikuoni ht kuleee
Wewe tu ndo unafanya niongee,Ah
Nilidhani naacha space kumbe nimeweka vituo
Nilikumiss
Upo kimya leo
KumbeWewe tu ndo unafanya niongee,
What a pleasure to have you.

Saa 6 hii uko busy na nini au waperuzi tu kama mimi.Kumbe
Basi nitakuwa nakusemesha mara kwa mara
Nipo nazunguka majukwaani humu.Saa 6 hii uko busy na nini au waperuzi tu kama mimi.
Crush i can only let you imagine by now soon or later I'll reveal the simple me.Nipo nazunguka majukwaani humu.
Naomba selfie yako crush wangu.
Kwanini nipate shida kujenga picha kichwani wakati unao uwezo wa kunionyesha tu picha hapa?Crush i can only let you imagine by now soon or later I'll reveal the simple me.
Me ni mweupe kiasi,
Urefu kiasi pia,
Mwembamba.
Handsome pia(kujisifu ni dhambi?).
Nataka hamu ikolee ikifika ⛏ peakKwanini nipate shida kujenga picha kichwani wakati unao uwezo wa kunionyesha tu picha hapa?
Acha kuninyanyasa basi jamani
Dah!Nataka hamu ikolee ikifikapeak
Mambo hadharani.
Mimi najipumzisha, Sleep tight![]()
bibie.
Uncle chura,mpka sasa tunaompenda kipenzi changu tuko wangapi?ninaemjua anaempenda kipenzi changu sanaaaa ni mmoja tu nae kabadili id.wengine🤪🤪Babu kwa nini unapendwa sana na hawa dada zangu?
Dua la kuku halimpati nyauMtaachana tu....