cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,179
Umeshaanza mmmmh.Unajificha/ziba mno sijui unaogopa nini?
Umeshaanza mmmmh.Unajificha/ziba mno sijui unaogopa nini?
Mmmmmmmh.....Bora umemwambia![]()
Naomba ujifunue nithaminishe na nione kama yaliyomo yanaweza kuwemo au ndo bhasi tena....Umeshaanza mmmmh.
Ya kweli haya Mshana?
Kabla hatujafa tufurahie upendo.Mmmmmmmh.....
Dunia tunapitaaaa kila kitu kitabakiaaaaaa binadamu ni mchanga×3
Naomba ujifunue nithaminishe na nione kama yaliyomo yanaweza kuwemo au ndo bhasi tena....
Kwema mkuu



nimecheka had baas, Ngosha naomba niache bhanaah. SitakiHahahaha, nukta mpk utue ule mguu a.k.a guuNilikimiss hiki kicheko.bado nukta nukta
Nitautua baadae Kwa ajili yako kipenzi.si unajua sipendi uteseke eeHahahaha, nukta mpk utue ule mguu a.k.a guu
Hahahaha, kwahiyo nisibanduke hapa sioNitautua baadae Kwa ajili yako kipenzi.si unajua sipendi uteseke ee
Nimekusalimia mkuu itikia salamunimecheka had baas, Ngosha naomba niache bhanaah. Sitaki
Saint AnneKabla hatujafa tufurahie upendo.
Mie sijambo niko vyema kwa matumizi ya binadamu.Nimekusalimia mkuu itikia salamu




Kama hujanywa chai..Kanywe tafadhali ..sipendi ukae na njaa.Hahahaha, kwahiyo nisibanduke hapa sio
Hahahaha, naona unaniondoa kijanja ,ili ukitupia nisiiione, haya naenda kunywa chai feri, mihogo na samakiKama hujanywa chai..Kanywe tafadhali ..sipendi ukae na njaa.
Ikiwa tayari nitakuita mpenzi wangu![]()
Ooh!!vizuri sana mkuu kama uko salama kabisa kwa matumizi ya binadamu.Mie sijambo niko vyema kwa matumizi ya binadamu.![]()
Nitafanya huo ujanja kwa wote lakini sio kwa kipenzi cha moyo wangu.neva.Hahahaha, naona unaniondoa kijanja ,ili ukitupia nisiiione, haya naenda kunywa chai feri, mihogo na samaki
Hahahaha, sawa baadae kdgNitafanya huo ujanja kwa wote lakini sio kwa kipenzi cha moyo wangu.neva.
Uniletee vile vidagaa..usisahau pilipili tafwazali
🥂🥂🧚♀️🧚♀️Hahahaha, sawa baadae kdg
Ooh!!vizuri sana mkuu kama uko salama kabisa kwa matumizi ya binadamu.



haya relaaaax sasa lol.