Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,673
- 208,808
Mtindi natumia, ila yoghurt itapendeza zaidi....Hapana usije na chochote/lolote mkuu
Kila kitu utakuta kipo ugali na samaki+maziwa mgando/mtindi ya baridi(unatumia?)
Au mpaka Yogurt[emoji1]
Mtindi natumia, ila yoghurt itapendeza zaidi....Hapana usije na chochote/lolote mkuu
Kila kitu utakuta kipo ugali na samaki+maziwa mgando/mtindi ya baridi(unatumia?)
Au mpaka Yogurt[emoji1]
Bavaria naiona kwa uzuri kabisa😁😁
Hongera mama mchungaji,mwandiko mzuriii mpaka raha.Happy women's day
View attachment 1720255
Kisanga si ni tatizo?[emoji1]Wew ni kisanga ujue[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha....mimi huyu?Mtaalamu kwa kutunza picha za watu [emoji3][emoji3]
MmmmmmmmhSi ndo hapo sasa .. T 1990 ELY naomba uendelee kukaa kwa password..ilikuwa maalumu kwa my lovuli Daddy
Dah!!.....Huu mguu huu!!
Hahahhaha broMimi nimeichukua/iiba kabisa bhageshi
Badae nina jambo langu na hii picha[emoji1]
Ameeen babuuuuh.Happy bruu Monday mjukuu
Guu la kuombea mkopo TPB. Wallah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema. Tupo tu tunagonga ugali tu. Huko mnaendeleaje?
View attachment 1720345
Dea [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sijambo babaSaint Anne [emoji257] haujambo?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
AkhsanteeHongera mama mchungaji,mwandiko mzuriii mpaka raha.
Nzuri sna!!!Sijambo baba
Za siku nyingi?
Nipo muda woteNzuri sna!!!
Umekua kimulimuli!!! Unaonekana kimachale nani kakuficha.
Yaliyomo yamo[emoji870]